Friday 11 July 2014

Miujiza ya idadi (nambari) katika Quran

Qur'an imetaja Neno Uhai الحياة mara 145 na neno Kifo الموت pia imetajwa mara 145
Neno mema الصالحات limetajwa mara 167 na neno maovu السيئات pia limetajwa mara 167
Neno dunia الدنيا limetajwa mara 115 na neno akhera الآخرة pia limetajwa mara 115
Neno malaika الملائكة limetajwa mara 88 na neno sheitan الشيطان pia limetajwa mara 88
Neno wazi الجهر limetajwa mara 16 na neno kutangaza العلانية pia limetajwa mara 16
Neno moto (na yanayomaanisha huwo huwo moto) جهنم limetajwa mara 77 na neno pepo (na yanayomaanisha hio hio pepo) الجنة limetajwapia mara 77

Neno mapenzi المحبة limetajwa mara 83 na neno kutii الطاعة pia limetajwapia mara 83
Neno utulivu الهدى limetajwa mara 79 na neno rehema الرحمة pia limetajwapia mara 79
Neno shida الشدة limetajwa mara 102 na neno subira الصبر pia limetajwapia mara 102
Neno usalama السلام limetajwa mara 50 na neno mema الطيبات pia limetajwapia mara 50
Neno malipo الجزاء limetajwa mara 117 amma neno المغفرة kusamehewa limetajwa mara 117
Neno mwingi wa rehma الرحمن limetajwa mara 57 na neno الرحيم mwenye kurehemu limetajwawa mara 57
Neno waovu الفجار limetajwa mara 3 na neno الأبرار wema limetajwa mara 3
Neno nuru na yanayomaanisha nuru النور limetajwa mara 24 na neno giza na yanayomaanisha giza الظلمة pia limetajwapia mara 24
Neno ugumu العسر limetajwa mara 12 na neno wepesi اليسر limetajwa mara 12
Neno sema قل limetajwa mara 332 na neno wamesema قالوا pia limetajwa pia mara 332
Amma neno iblisi إبليس limetajwa mara 11 na kumuomba Allaah kinga (dhidi ya Iblisi) الاستعاذة بالله pia limetajwapia mara 11.
Wanaume wametajwa mara 24 na wanawake wametajwa mara 24.
Imetaja mwezi mara 12 na ukiangalia idadi ya miezi yote ni 12.

SUBHANALLAH

No comments:

Post a Comment